Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS ... Kimenuka jiji la Mwanza

Machinga, mama ntilie, biashara kandokando ya barabara, garage woooote wanaondolewa ndani ya jiji. Shughuli imeanza alfajiri ya Giza Leo Jumamos.  Police, mgambo, JKT wametanda maeneo yote ya jiji.  Matingatinga yanatumika kubomoa na kusafisha.  Hali ni tete sana!!!!!  Maeneo yafuatayo sasa hakuna kitu; Makoroboi, Kirumba sokoni, Tanganyika, darajani, dampo, liberty, natta, sahara, Kamanga ferry nk.  Inasikitisha saaana!!!!  Vitu vinapotea, Watu wanalia, maduka yamefungwa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top