Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Diamond azidi kufanya maajabu anga za kimataifa

Diamond anaendelea kushangaza wengi kwa namna anavyozidi kupasua anga,mbali na kutajwa mara kwa mara kwenye headlines nyingi.

Diamond ameingia kwenye headline tena baada ya picha yake kumewekwa makao makuu ya kituo cha television maarufu cha trace urban,picha ya Diamond ni moja kati ya picha za mastar wengi wakubwa afrika na duniani kote,wasanii wengine ni wizkid,jay z na wengine wengi.

Kupitia ukurasa wa instagram mashabiki wamempongeza diamond kwa hatua hiyo kubwa,mmoja wa mashabiki hao ni Issa Azamkupitia ukurasa wake wa instagram kaandika hivi.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top