Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Dk. Nchimbi afunguka maneno mazito kwa Rais Magufuli .... Ni baada ya kuteuliwa Ubalozi"Kwa Saa 48 nimetafakari imani kubwa aliyoionyesha kwangu mhe Rais John Pombe Magufuli kwa kuniteua kuwa Miongoni mwa mabalozi wetu,nimetafuta maneno muafaka ya kumshukuru na kumuonyesha ninavyoithamini imani yake kwangu lakini nimeyakosa.
Mhe Rais naomba upokee neno langu moja tu "ASANTE"
Nitafanya kazi kwa juhudi na maarifa kufikia matarajio yako kwangu.

Kwa watanzania wenzangu nimepata maelfu ya salaam za kunipongeza na kuniombea kheri nawashukuru Sana, sitawaangusha.

Mwisho Namshukuru Kipekee Mwenyezi Mungu kwa kufanya niendelee kuaminiwa naomba aendelee kunisaidia niilinde imani niliyoonyeshwa." - Dk. Nchimbi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top