Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kafulila aachia ngazi NCCR - MageuziLeo Decemba12, nimemwandikia barua Katibu Mkuu wa NCCR-MAGEUZI, kiustarabu kumjulisha mambo manenne;

1.Nakishukuru chama na viongozi kwa muda wote tuliokuwa pamoja katika kujenga chama.

2.Nimeamua kujivua uanachama na hivyo Uongozi wa Katibu Mwenezi Taifa

3.Pamoja na ukandamizwaji haki kwenye vyombo vya utoaji haki bado siwezi kukata tamaa kuishi ndoto yangu ya kupigania mabadiliko ninayoamini kwa taifa langu

4.Mabadiliko hayo yanaweza kutekelezwa kwa wepesi kwa kwa wenye dhamira kuunganisha nguvu katika chama kimoja cha upinzanI ambacho kinajipambanua kwa mipango na mikakati ya kuleta mabadiliko hayo, ambacho kwa maoni yangu ni CHADEMA. Hivyo natangulia huko.

David Z, Kafulila
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top