Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KASI YA JPM YAMTIKISA MBOWEMwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, James Mushi ametangaza kujiuzulu wadhifa huo, huku akikiponda chama hicho na kusifia utendaji wa Rais John Magufuli.

Wilaya hiyo ndiyo anayotoka Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na Mbunge wa Hai.

Katibu wa Chadema Mkoa Kilimanjaro, Basil Lema alipoulizwa jana kuhusu kujiuzulu kwa Mushi, alithibitisha kupokea barua yake ambayo alidai imeandikwa chini ya viwango.

#GazetiNiMwananchi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top