Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Lema agonga mwamba tena


Arusha . Usikilizwaji wa Rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ya kupinga kunyimwa dhamana imekwama kusikilizwa baada ya upande wa Jamhuri kukata rufaa ya kupinga mbunge huyo kuongezewa muda wa kuwasilisha notisi ya rufaa.

Lema aliyekamatwa Novemba 2, akiwa mjini Dodoma tangu wakati huo anashikiliwa kwenye gereza la Kisongo jijini Arusha.

Baada ya rufaa ya Lema kukwama leo amerudishwa gereza la Kisongo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top