Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mbowe hali tete .... Apumulia mashineMWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe anakabiliwa na ukata hali inayotishia kufirisiwa kwa kampuni zake.

Aidha hali hiyo imesababisha mwenyekiti huyo kushindwa kuwalipa mishahara wafanyakazi wa kampuni ya Free media inayochapisha gazeti la Tanzania Daima kwa miezi minne mfululizo huku akidaiwa kutishia kuwafukuza kazi baadhi ya watumishi waliokuwa mstari wa mbele kudai malipo yao.

Mbowe anadaiwa yuko hoi bin taaban hadi baaadhi ya taasisi anazodaiwa kuanza kufirisiwa mali zake.

Uhuru
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top