Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Real Madrid yachomoa dakika za majeruhi kugongwa na Barca


Pambano la Ligi kuu ya Spain kati ya mahasimu wakuu wa soka la Spain yani Barcelona na Real Madrid limemalizika kwa sare ya bao 1-1


Pambano hilo ambalo linajulikana kama El Clasico ni la ligi kuu nchini Spain La Liga likipigwa katika dimba la Nou Camp Jijini Barcelona.

Mpaka mapumziko hakuna timu iliyofanikiwa kuliona lango la mwenzake licha ya nafasi chache zilizopatikana Cristiano Ronaldo akipata nafasi moja ya wazi ya kuweza kuipatia Real Madrid ba
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top