Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWS .... Watu 15 waliofukiwa na kifusi waokolewa wakiwa hai

Watu 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi Geita waokolewa wakiwa hai.

Kwa mujibu wa habari watu hao wamepelekwa hospitali ili kupatiwa matibabu zaidi.

Ikumbukwe kuwa watu hao walifukiwa na kifusi hicho wakati wakiwa kazini katika moja ya migodi iliyoko chini ya wachina.

Chanzo: JF
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top