Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK NCHIMBI AMFUTIA SHTAKA LA SH1 BILIONI KADA WA CCMBalozi Mteule, Dk Emmanuel Nchimbi amepokea ombi la  kuombwa msamaha kutoka kwa kada wa CCM James Mwakibinga aliyemtuhumu kujimilikisha sehemu ya jengo la Umoja wa Vijana wa CCM, mwishoni mwa mwaka jana.

Dk Nchimbi kupitia kwa wakili wake, Silvanus Mayenga kutoka FK Law Chambers alimfungulia Mwakibinga shauri la madai Na.300 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, akitaka amlipe fidia ya Sh1 bilioni kwa kumchafulia hadhi yake mbele ya jamii ikiwa pamoja na kumtuhumu kuuza viwanja 200 vya UVCCM vilivyoko Temeke http://www.mwananchi.co.tz/habari/Dk-Nchimbi-amfutia-shtaka-la-Sh1-bilioni--kada-wa-CCM/1597578-3508272-41ms2sz/index.html
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top