Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mkuu wa wilaya amwondolea kesi mwandishi wa habariMkuu wa wilaya ya Kahama Fadhili Nkurlu ameondoa mahakamani kesi aliyokuwa ameifungua dhidi ya Mwandishi wa habari Paul Kayanda.

Hatua hiyo inafuatia kikao cha usuluhishi kati ya Uongozi wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga (SPC) ,waandishi wilayani Kahama,Mkuu wa wilaya pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya hiyo kilichofanyika Desemba 31,2016.

Pande zote mbili zimetia saini hati ya kuondoa kesi mahakamani.

Mwenyekiti-SPC
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top