Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Msanii wa Bongo movies Ray Kigosi apata mtoto wa kiume

Mpenzi wa msanii mkongwe wa filamu Ray Kigosi, Chuchu Hans amejifungua mtoto wa kiume wiki hii, Ray amethibitisha.
 
Muigizaji huyo ameonyesha furaha yake kwa kuwa huyo ni mtoto wake wa kwanza.

“Asante mungu kwa kuniletea pacha wangu asante my lovely mzungu kwa kunipa heshima kubwa kunifanya niitwe baba, mungu wangu wa haki asiyeshindwa na jambo akubariki sana,” muigizaji huyo aliandika Instagram.

Aliongeza, “Sasa msianze maneno yenu kwamba mwanangu amekunnywa maji, mtoto bado ni mchanga maana watu wa Insta kiboko lakini hawaishi mtoni,”

Kwa upande wa Chuchu Hans huyo ni mtoto wake wa pili, mtoto wake wa kwanza alizaa na mume wake wa zamani.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top