Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Irene Uwoya: Nasumbuliwa na Mwanangu anapotaka kuongeza video call na Rais Magufuli

Mtoto wa Irene Uwoya, Krish (6) amekuwa akimsumbua mama yake mara kwa mara kutaka kuongea na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli.

Akiongea na Bongo5 wiki hii, Uwoya amedai kuna wakati anamrekodi video na kumdanganya kwamba anamtumia Rais Magufili ili kumtuliza mtoto huyo.

“Mara nyingi huwa ananiambia mimi nampenda sana Rais Magufuli, natamani kuwa Rais, anaongea hivyo, yaani muda mwingine nakuwaga nachanganyikiwa,” alisema Irene Uwoya. “Anaweza akaniambia Mama una namba ya Mh Rais Magufuli, naomba kuongea naye,”

Alisema kunawataki mtoto huyo anaomba arekodiwe video ili atumiwe Mh. Rais Magufuki,

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top