Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Prof. Lipumba atoa kauli kwa TEF

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na ofisi ya Msajili, Profesa Ibrahim Lipumba amevitaka vyombo vya habari kuchukua hatua za kisheria kwa waliohusika katika vurugu zilizotokea katika mkutano wa CUF na kusababisha baadhi ya wanahabari kujeruhiwa.

Katika tamko lake aliloliandikia Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), Profesa Lipumba amesema analaani vikali kitendo cha waandishi kupigwa na akawapa pole waliokumbwa na kadhia hiyo.

Profesa Lipumba amesema ameamua kutoa taarifa hiyo baada ya TEF kumtaka atoe msimamo wake kuhusu uvamizi huo lakini akafafanua kuwa alimtuma Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano wa CUF, Abdul Kambaya kufanya hivyo kwa niaba yake.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top