Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Alichokisema RC Makonda akiwa TBC* ALICHOKISEMA MHE MAKONDA TBC.*

*# MAJI.*
Tumekamilisha zoezi kubwa la kuongeza upatikanaji wa maji *DSM*, tayari mradi mkubwa wa kuleta bomba kubwa la maji limefika *DSM*, hivyi sasa ni hatua ya kuunganisha katika mitandao ya wananchi.

*# BARABARA.*
Tumeanza zoezi la Matengenezo, ukarabati na ujenzi wa miundombinu yote ya barabara *DSM,* fedha zimeshatengwa kwenye manispaa zote na sasa michakato ya utoaji wa Zabuni inaendelea.

*# ELIMU.*
Tumeunda kamati ya kuhakikisha inatuletea mapendekezo ya kuboresha mfumo wa UTOAJI wa elimu, ELIMU ya msingu inatolewa BURE na sasa tunataka kutazama UBORA wake.

*# DAWA ZA KULEVYA.*
Tayari watuhumiwa wanne wakubwa wamesafirisha kwenda Marekani ambako wanatuhumiwa tena kujihusisha na biashara haramu ya unga.
Hii vita imeibua mapambano mengine mapya ambayo mtandao wao umeanza kuhusisha na kupika taarifa za uongo dhidi yangu lengo nimekuja kunipunguza nguvu.

*# BODABODA.*
Zaidi ya vijana elfu sita *6,000* wamenufaika na zoezi la kuwapa mafunzo, na kofia ngumu lengo ni kupunguza ajali.

*# AFYA.*
Ujenzi wa Hospital tatu unaendelea vizuri ,ukikamilika utakuwa na *UWEZO* wa kulaza ki na mama na watoto *610* kwa wakati mmoja.

*# UHUSIANO NA VYOMBO VYA HABARI.*
Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa Serikali, tusiwanyime fursa wananchi wa Dar es salaam kupata habari, ndugu waandishi wa Habari tusibebe *AGENDA ZA WATU.*
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top