Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RC Makonda aamua "kumwaga mboga" .... Apasua jipuMAKONDA AKIONGEA STAR TV
#Tumewabana wakandarasi kuhakikisha wanajenga barabara kwa ubora wa hali ya juu
# Tumetenga zaidi ya Bilioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa barabara jijini DSM
# Daudi bashite SIO jina langu, nimelisikia na naendelea kulisikia.
# Wazazi wangu walinipa jina la Paul Christian Makonda
# Haya yote ya daudi bashite yamekuja kutokana na vita dhidi ya Dawa za kulevya.
# Mwezi wa pili nilipoanza vita ya Dawa za kulevya ndio nilipoanza kusikia jina la daudi Bashite.
#Gazeti la Mtanzania kuandika ubini wa mzee wangu kama ni Bashite, hilo ni jambo linalogeuzwa kama Agenda ya kuhujumu kazi nalinazozifanya
#Kwenda kanisani na kulia ni sehemu ya Ibada yangu na Mungu, maisha yangu na urafiki na yesu hayawezi kuonekana na watu, tunakwenda kanisani kwa ajili ya kusali.
# Hata mawazo ninayoyapata mimi huwa nayalipia kodi kwa Mungu, nimekwenda kkkt kama sehemu ya maadhimisho yangu kwa Mungu kutokana na maisha yangu na familia yangu.
#akili ndogo hutazama vitu vidogo sana,
# Hii vita ya dawa za kulevya ni ngumu, nilisema kama huna uhakika na Mungu wako kwenye hii vita usije, KUMBUKENI KUNA MTU ALITUMA MAPEPO YAJE KWANGU, MAPEPO YAKAGOMA KUJA KWANGU MANA YANAJUA MIMI NINA MUNGU.
# Utajaji majina ya wauza UNGA
-Kwanza lazima niseme niliingiaje kwenye hii vita ya UNGA?
-nilifanya utafiti kwa Muda wa miezi sita(6) na kubaini kuwa biashara ya Unga imeleta athari kubwa sana kwa familia nyingi mkoani DSM.
Family nyingi zimeumizwa na vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa.
# Mtandao wa dawa za kulevya unahusisha watu wenyewe NGUVU sana kiuchumi, wenye fedha na rasilimali nyingi
# Nilitumia mfumo wa kutaja majina mana nilishasema LENGO langu halikuwa pekee kwenye kukamata bali kupunguza matumizi ya dawa za kulevya, na nilifanikiwa.
# Sikujinufaisha na DAWA za kulevya, nimepata tuhuma zaidi ya 20, haya magari niliyokuwa nayo au mali wanazosema nimekuwa nazo jamani sio kweli, NILIKUWA na maisha kabla ya KUWA mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa sio kweli.
#SINA APARTMENT SINA MALI AMBAZO HAZIHUSIANI NA KIPATO CHANGU, WATU WANAPOONA MAGARI YA KIFAHARI YAMEPAKI KWANGU KWENYE NYUMBA YA MKUU WA MKOA NI YANGU? Sio kweli jamani.
# Hivi nawezaje kutangaza HADHARANI majina ya watu wanaohusishwa na UNGA halafu waniletee MAGARI nyumbani inawezekanaje? Iweje nikutaje uniletee GARI?
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top