Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Breaking news .... Hali ya hewa yachafuka BungeniSpika wa Bunge, Job Ndugai ameamuru Mbunge wa Kibamba,

John Mnyika atolewe nje ya ukumbi wa Bunge kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Wabunge wa upinzani wametoka nje wakipinga kitendo hicho cha  kuamuru Mbunge wa Kibamba..

John Mnyika kutolewe nje ya ukumbi wa Bunge.

Ni kwendana na sakata LA madini,kuna mbunge WA ccm amemtuhumu mnyika kuwa ni mwizi.

Spika amempa adhabu mnyika ya kutokuudhuria bungeni kwa siku saba.

Spika Job Ndugai ameagiza Mdee na Bulaya wafike mbele ya kamati ya maadili kesho.Mdee amemchania koti askari wakati anazuia Mnyika asitolewe.

Kamati ya Maadili itaanza kumjadili Esther Bulaya kwa kitendo alichokionyesha cha kuhamasisha wabunge kutoka nje ya ukumbi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top