Diwani wa Murriet (CHADEMA) Mhe. Credo Kifukwe ajiuzulu nafasi yake ya udiwani.
"Ninajiuzulu nafasi yangu ili niweze kumuunga mkono Rais Magufuli katika utendaji wake,dhamira inanisuta kuwa katika kundi linalopinga kila kitu" alisema Mhe Credo.
Chanzo: Cloudsfm page
on Thursday, June 29, 2017
Post a Comment