Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Chadema hali tete .... Diwani ajiuzulu na kutangaza kumuunga mkono Rais MagufuliDiwani wa viti maalumu (CHADEMA)huko Arumeru, Bi. Josephine Anaeli Mshiu amejiuzulu leo na kuamua kuachana na Chadema kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kumuunga  mkono Rais  Magufuli kwa kazi nzuri ya kuwatumikia wananchi, pia Mh Josephine amesema migogoro na mgongano wa kimaslahi miongoni mwa madiwani wa Chadema unakwamisha jitihada za kuwaletea wananchi maendeleo. Amesema anamuunga mkono DC wa Arumeru, Mh Mnyeti kwa jitahidi zake za kumuwakilisha vyema Mh Rais Magufuli ktk kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top