Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hali mbaya ..... Watu wengine watatu wauawa tena KibitiKIBITI, PWANI: Watu 3 wakazi wa kijiji cha Nyamisati wafariki baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo

Watatu wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

Mkazi mmoja wa Kijiji hicho aliyejitambulisha kwa jina  moja la Hamza amesema miongoni mwa watu waliopigwa yumo mwanamke mmoja ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji kimojawapo kijijini hapo.

KAMANDA WA PWANI AFAFANUA MAUAJI YA WATU WATATU

Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amesema kwa taarifa alizonazo, watu wawili wamepigwa risasi katika kijiji cha Nyamisati, Kibiti, kisha waliofanya uhalifu huo kuwachukua majeruhi na kuondoka nao.
 Awali taarifa zilizotolewa na mashuhuda wakazi wa kijiji hicho zilisema watu watatu wameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo.

Watu watatu, wanahofiwa kuuawa kwa kupigwa risasi wilayani Kibiti usiku wa kuamkia leo. DC wa Kibiti Gullamhusein Kifu amesema

Chanzo: JF na Mwananchi
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top