Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Jinsi ya kuondoa pattern au password kwenye simu yako endapo umeisahau

Njia hii ni mahususi kwa simu za android pekee, kwani ukifanya hivi katika simu nyingine haitafaa.

1.Zima simu yako

2.Bonyeza kwa pamoja kitufe cha kuwashia simu (Power Button) na kitufe cha juu cha kuongezea sauti (Volume Up Button) kwa sekunde 5 hadi uone simu inawaka.

3.Kwa watumiaji wa simu za Samsung Galaxy bonyeza kwa pamoja kitufe cha kuwashia simu (Power Button) na kitufe cha juu cha kuongezea sauti na Home button.

4.Utaona maandishi madogo upande wa kushoto  yaliyopangwa kushuka chini.

5.Bonyeza kitufe cha chini cha sauti ili kuchagua maneno yaliyoandikwa (Wipe data/Factory reset)

6.Kisha bonyeza kitufe cha kuwashia simu (Power Button).

7.Acha simu yako ifanye reboot.

8.Tayari umefanikiwa kuondoa password au pattern uliyoisahau.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top