Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RC Anna Mgwhira awa mbogo"Nimewashangaa wenzangu kunivua nafasi yangu ya Uenyekiti wao wanadhani wamenikomoa, kumbe wamenisaidia kurahisisha kazi zangu.  Sijaona sababu ya kuharakisha kunivua nafasi yangu wakati upo uwezekano nafasi yangu kukaimiwa kwa miezi mpaka hapo tutakapokubaliana vizuri"

"Jana nimewasikia wenzangu wakisema, wanamkaribisha tena Mh. Rais akipendezwa tena aje ateue na wengine. Mimi nasema Mh. Rais aje ateue mwingine halafu nyie mumfukuze? Hili haliwezekani kabisa"

Rc-Kilimanjaro Ndg. Anna Mghwira (08/06/2017

Rc-Kilimanjaro Ndg. Anna Mghwira
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top