Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Taarifa mpya juu ya nyumba ya Mwenyekiti CCM kuchomwa motoNyumba mwenyekiti wa CCM wilaya ya HAI Dr. AMINI URONU imechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu ambao mpaka sasa hawajafahamika...

1. Mzee na mama wote wamelazwa hospital ya Mt. Joseph.

2. Mzee kapata madhara kiasi ktk maeneo ya miguu na mkono.

3.kwa kumuona pamoja na uthibitisho wa madaktari hali yake ipo vizuri.

4. Hakuna taarifa yyte ya ziada kutoka kwny familia.

       
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top