Loading...
Home » Unlabelled » ZITAMBUE NCHI AMBAZO WATU WAKE WAMEWAHI KUTAMAN KUONGOZWA NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI K
ZITAMBUE NCHI AMBAZO WATU WAKE WAMEWAHI KUTAMAN KUONGOZWA NA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI K
1.Kenya mpaka kesho wanaonesha hali ya juu sana ya kumkubali MAGUFULI, Na wamekuwa wakituma ujumbe Mara kwa Mara kupitia ukurasa wa rais wa Kenya Mr uhuru Kenyatta, kuwa MAGUFULI njoo utuondolee ufisadi Kenya
2. Colombia. Hii ni nchi maarufu sana dunian. Mwana riadha Carles Valdez, ameandika Mara kwa Mara katika kurasa zake, kuwa " the African rising star from Africa, please join us ,help us with this triumph corruption in our country "
3. Uganda kwa Mzee mseven wametaka kuwa Na rais Magufuli, hawaijui Kiswahili vema, wanasema HIS EXCELLENCY JOHN POMBE MAGUFULI. ,NJOOO UTUNYOROOSHEEE, tunakutaka uku,
4. USA, ni vigumu sana kuamini kwamba watu wa USA wanafuatilia pia, mmoja kaandika kwenye ukurasa wa Twitter kuwa, "Trump you are John too but you don't deserve to be respected as John of Tanzania, welcome to USA we need a president of your caliber "
5. Bolivia ni nchi inayopatikana kusini mwa bara la America. Wakati wa mechi ya kirafiki Na Venezuela, ilionekana bango kwa mbali wakipinga rushwa inayoendelea nchini mwao, said " there is an emerging country in Africa with MAGUFULI. Our president don't be ashamed to get lecture from the guy"
7. Nepal mitaa ya kathmandul wananchi wameamdamana kutaka mitaa baadhi iitwe MAGUFULI, Na kusema wanataka rais wao awe kama Magufuli
8. Congo kwa kabila nyote ni mashahid wakati mkilia kule wanaomba MAGUFULI aongoze,
9. Australia magazeti yanatoa maoni ya watu mbali mbali Na kusema wanashangaa kuna ka nchi uko Africa kana rais ni hatari kabisa, wanataman aongoze hata kule,
10. Madagascar kwa waziri mkuu Kelvin Ruud, nao wameandamana Jana mitaa ya Antananarivo kushinikiza rais wao afuate mfumo wa uongozi Tanzania.
Post a Comment