Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Zitto Kabwe aipongeza Serikali ya Rais MagufuliNaipongeza Serikali kwa Kuchukua Hatua Juu ya Sakata la Escrow

Kwa dhati kabisa naomba nichukue nafasi hii kwa niaba ya Chama changu kuipongeza Serikali kwa hatua hii ya kuwafikisha Mahakamani Watuhumiwa wa Sakata la Escrow kama ilivyoazimiwa na Bunge Septemba, 2014. Hii ni hatua muhimu sana katika mapambano dhidi ya Ufisadi nchini.

Nasikitika ndugu yangu Deo Fulikunjombe hayuko hapa kushughudia matokeo haya ya kazi kubwa aliyoifanya kwaajili ya Taifa.

Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama - ACT Wazalendo
Mikumi- Morogoro
Juni 19, 2017
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top