Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Zitto Kabwe avunja ukimya mauaji Kibiti

Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amesema suala la mauaji yanayoendelea katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji, linahitaji mshikamano na kuwa mauaji hayo hayapewi nafasi ya kuendelea.

Zitto ameandika hayo leo (Jumatano) kwenye ukurasa wake wa  facebook na twitter na kutaka taifa lizungumze lugha moja ili kukabiliana na mauaji hayo.

“Ninarejea wito nilioutoa siku zilizopita kuwa ninatarajia Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama itakwenda eneo la MKIRU kuzungumza na wananchi wa kule ili kupata maarifa ya mbinu za kuishauri na kuisimamia Serikali kudhibiti mambo na kuimarisha usalama.” Ameandika Zitto.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top