Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Majina ya vyuo vingine vilivyozuiwa na TCU kuandikisha wanafunzi mwaka 2017/18

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa imefanya uhakiki wa vyuo vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa vyuoni hapo, ripoti ya uhakiki huo ilionyesha mapungufu kadhaa katika baadhi vyuo. 

Hivyo tume imeamua kuchukua uamuzi wa kusitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo hivyo.

Aidha, Tume hiyo imevitaja vyuo hivyo kuwa ni pamoja na:
  1.     Eckenforde Tanga University
  2.     Jomo Kenyatta University, Arusha
  3.     Kenyatta University, Arusha
  4.     United African University of Tanzania
  5.     International Medical and Technological University (IMTU)
  6.     University of Bagamoyo
  7.     Francis University College of Health and Allied Sciences
  8.     Archibishop James University College
  9.     Archibishop Mihayo University College
  10.     Cardinal Rugambwa Memorial University College
  11.     Kampala International University Dsm College
  12.     Marian University College
  13.     Johns University of Tanzania Msalato Centre
  14.     Johns University of Tanzania, Marks Centre
  15.     Joseph University College of Engineering and Technology
  16.     Teofilo Kisanji University
  17.     Teofilo Kisanji University Tabora Centre
  18.     Tumaini University, Mbeya Centre
  19.     Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMCo)
Aidha, kutokana na mapungufu hayo katika vyuo mbalimbali imeamriwa kuwa jumla ya programu 75 kutoka vyuo 22 nchini zimesitishwa kudahili wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18. 

Programu ambazo zimesitishwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2017/18 ni pamoja na

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top