Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Ridhiwani Kikwete amuomba radhi Prof. Jay

USIKU wa kuamkia leo ilikuwa ni shangwe kwenye Ukumbi wa Mlimani City wakati wa sherehe ya Rapper nguli wa Bongo ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ aliyefunga ndoa jana hiyohiyo Julai 8, 2017  na mpenzi wake Grace katika Kanisa la St. Joseph lililopo Posta ya Zamani Dar.
Licha ya Sherehe hiyo kuhudhuriwa na watu mashuhuri wakiwemo wabunge, Basi Ridhiwani Kikwete ameandika maneno haya kupitia ukurasa wake wa Instagram...

"hata Ubuyu ulianza kama Jay Mwisho ukakatika." Prof. Jeezy nawe umeaga kambi ya Mabachela na umejiunga na kambi ya Wastaarabu. Hongera sana Brother. Nisamehe kwa kushindwa kuhudhuria kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Nakujali sana bro.@professorjaytz"
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top