Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Shaka azindua semina ya ujasiriamali Ubungo

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Leo ameshiriki na kuzindua semina elekezi ya ujasiamali kwa vijana wa wilaya ya Ubungo ili kushiriki kwa ukamilifu  maonesho saba saba hayo yanayoanza terehe  1 Julai 2017.
Semina hiyo imefanyika katika  ukumbi wa Texas Manzese  jijini Dar es Salaam
Malengo ya semina hiyo ni :
Kukusaidia  mjasiriamali na mfanyabiashara vijana kuweza kutanua soko lao la  kibiashara.
Kufungua Fursa mbalimbali za kiuchumi kwa vijana ambapo  wamepata fursa ya  kukutana  na makundi mbalimbali ya wajasiriamali wadogo na wakubwa. n.k
Kusaidia vijana namna ya kuunda vikundi na hatua zake ili vitambulike kisheria.
Katika semina hiyo wamealikwa  wataalamu mbalimbali ambao watatoa mafunzo ambayo yatawasaidia  vijana  kuziona *FURSA* na namna ya kuzitumia.
Uzinduzi huo umehudhuriwa na viongozi mbali mbali wa chama na jumuiya zake aliwemo  Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya kinondoni  Said Masanga.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top