Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hii ndio Orodha ya TV na Radio za Tanzania zinazosikilizwa zaidi


 Taasisi ya Utafiti ya GeoPoll imetoa list ya top 10 ya vituo vya Radio ambazo zimesikilizwa zaidi Tanzania kwa Q2 2017, ikitumia data za kila siku zilizokusanywa kupitia Media Measurement Service ambapo kituo cha Radio ya Clouds FM kimeongoza.

Clouds FM imeongoza kwa mara nyingine kwenye list hiyo ikifuatiwa na Radio Free Afrika wakati TBC Taifa ikikamata nafasi ya tatu.

Aidha Taasisi hiyo pia imeitaja Clouds TV kuwa kituo kinachotazamwa zaidi Tanzania katika top ten list ya Television zinazotazamwa zaidi Tanzania ikifuatiwa na ITV na East Africa TV.

Radio zinazosikilizwa zaidi Tanzania Television zilizotazamwa zaidi Tanzania
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top