Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Jeshi la Polisi Rukwa lanasa vito vya thamani vilivyopitishwa kimagendo

Jeshi la polisi Mkoani Rukwa limekamata maboksi mawili yenye vito vinavyosadikiwa kuwa ni vya thamani pamoja na mchanga mweusi kutoka kwa raia wa nchi ya jirani ya Kongo kwa kisingizio cha kuleta Tanzania kwa ajili ya maonesho.

Akithibitisha hayo Kamanda wa polisi Mkoa wa Rukwa, SSP George Kyando amesema jeshi la Polisi likiwa kwenye doria ya pamoja na Askari wa Uhamiaji walifanikiwa kukamata raia wawili wa Congo wakiwa na maboksi hayo yenye vipande vya mawe na mchanga mweuzi (nusu kilo) ambapo raia hao wa Congo wamesema kuwa mawe hayo ni yakisanii. 

==>Tazama  video hapo chini
 

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top