Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Makatibu wa CCM wanolewa

 Naibu katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi bara Ndg:Rodrick Mpogoro akizungumza kabla ya ufunguzi wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa na Watendaji wa CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 Sekretarieti ya mafunzo hayo wakiwa kazini
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 muwasilishaji mada akiendelea
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole (wa pili kulia) akiongoza nyimbo ya hamasa wakati wa mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Hamasa ikiendelea
Makatibu wa Jumuiya za Chama cha mapinduzi,(wa kwanza kulia)ndg:Seif Shaaban katibu  Mkuu wa Jumuiya ya wazazi (pili kulia) Kaimu katibu mkuu Uvccm ndg:Shaka hamdu shaka pamoja na  Katibu mkuu wa UWT.ndg: AMINA MAKILLAGI (wa nne kutoka kulia) wakifuatilia kwa umakini  Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.

Katibu Mkuu wa CCM ndg:Abdulrahman Kinana akiendesha Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
 washiriki wakifuatilia kwa umakini Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
  washiriki wakiuliza maswali katika Mafunzo elekezi kwa Makatibu wa Mikoa  CCM tanzania bara na Visiwani iliofanyika katika Ukumbi wa sekretariet katika jengo la ofisi ya makao makuu ya CCM mjini Dodoma.PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top