ALIYOYASEMA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA NA MBUNGE WA HANDENI VIJIJINI NDG. MBONI MHITA (MB) AKIHOJIWA NA VIJANATZ JUU YA NAFASI YA VIJANA KATIKA KUIJENGA TANZANIA MPYA JUMATATU 14/08/2017
"Mara baada ya kumaliza elimu yangu,
nilianza ujasiliamali" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Lengo la kujikita kwenye jumuiya ilikuwa
si kutafuta nafasi ni kujitolea zaidi” – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Nilianza kujitolea ndani ya UVCCM na
baadae nikachaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa" – Ndg. Mboni
Mhita (MB) #VijanaTz
"Kuna tofauti kubwa kati ya vijana
waliopita kwenye jumuiya na wale wasiopita" – Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
“Kijana yeyote ambaye anaishi maisha yake ya
uongozi kwa kupitia Uvccm ni lazima atakuwa na adabu "– Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"UVCCM ilianzishwa ili kuwaunganisha
Vijana Tanzania ambapo imeoka na kupika viongozi wengi nchini" – Ndg.
Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Mipango yote tuliyokuwa tumeiweka mwanzo
hivi sasa inakwenda vizuri"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Jumuiya ya Uvccm iwe ni kioo au kimbilio
kwa vijana" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Najivunia mafanikio ya kujenga uwezo wa
kujitegemea Vijana, kuboresha maslahi ya Watumishi" – Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
“Kinachoniumiza ni vijana kuingia kwenye
makundi ya kutumia madawa ya kulevya" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Nimefurahia kuona Serikali inapambana na
madawa ya kulevya nchini ambayo yanaathiri vijana wengi nchini" – Ndg.
Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Tanzania mpya ni Serikali inayoitoa
Tanzania kutoka sehemu moja hadi nyingine nzuri" – Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Tanzania mpya haina mstari mmoja unaoweza
kutafsiri nini maana yake ,bali hii inaonesha tunapiga hatua kwenda mbele"–
Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Rais Magufuli amefanya makubwa ya kufufua
shirika la ndege, kuongeza madawa nchini, kujenga barabara" – Ndg. Mboni
Mhita (MB) #VijanaTz
Mpaka sasa hivi Msd wana dawa zaidi ya 80%
"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Mapambanio dhidi ya vyeti feki yameongeza
fursa za ajira nchini kwa vijana wenye sifa nchini" – Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Tumepambana na mambo mengi ikiwemo vyeti
feki .lengo ni kuhakikisha kundi kubwa la vijana walio mtaani wanapata
ajira"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Rais Magufuli anaendelea vyema na sera ya
kuifanya Tanzania ya Vijana" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Tanzania mpya inamtegemea kijana ajitoe
kwa ajili ya kuijenga"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Tanzania mpya inamtegemea kijana aweze
kujitoa kwenye ujenzi wa Tanzania"- Mboni Mhita #VijanaTz
"Viongozi wa nchi wamefungua milango sana
kwa vijana"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Awamu hii imefungua milango zaidi kwa
vijana kupata fursa mbalimbali" - Mboni Mhita #VijanaTz
“Serikali kupitia kwa mh:Rais inapambana
sana kurudisha mashamba ili vijana waweze kupata ajira"– Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Bomba la mafuta lina fursa nyingi sana
kule Tanga,tumewaelimisha wananchi kujiandaa na ujio huu wa bomba hili"–
Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Tanga inabadilika sana itakuwa ni Tanga
ya waja leo kuondoka ni majaaliwa"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Tanga itabadilika sana kwa uwepo wa bomba
la mafuta. Itakuwa Tanga waja leo, kuondoka majaliwa" – Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Nawataka wakina dada na akina mama
wapambane sana na wasikate tamaa"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Bomba la mafuta litaongeza fursa ya
ajira, kuboresha bandari na kuifanya Tanga mpya kuzaliwa" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Siku zote mbio huwa zina misukosuko
unaweza kuanguka lakini inuka na kuendelea mbele"– Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Siku zote mbio zina misukosuko, Vijana
tusikate tamaa mpaka tupate mafanikio" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Sipendi kukubali kushindwa wala kukubali
kuwa jambo haliwezekani mpaka nione mwisho wake" – Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Walitokea walionikatisha tamaa lakini
nilipambana na nikawa makamu mwenyekiti mwanamke wa kwanza" – Ndg. Mboni
Mhita (MB) #VijanaTz
"Ukiwa nje ya Tz Watu wanamsema vizuri
sana Rais Magufuli kutokana na uchapaji kazi wake mzuri "Mboni Mhita #VijanaTz
“Dunia na nchi yetu ya Tz asilimia kubwa
ni #Vijana tuwe na mawazo ya kujiajili"– Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Serikali ione na kuweka mpango mzuri wa
kuwandaa vijana kwenye tatizo la ajira"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Nakerwa na Watoto wa kike kubaguliwa na
kutokupewa fursa sawa na Watoto wa kiume" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Siyo haki kuwabagua watoto wa kike kwenye
elimu ,hawa ni watu muhimu wathaminiwe na washirikishwe kwenye kila jambo"–
Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Wanawake wanayo fursa sawa na Watoto wa
kiume. Tuwape fursa sawa" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Sipendi kukubali kushindwa wala kukubali
kuwa jambo haliwezekani mpaka nione mwisho wa kile ninachokijaribu" – Ndg.
Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Nimeingia kwenye bunge la afrika kwa
sababu ya kumpigania kijana wa afrika na wakitanzania kwa ujumla"– Ndg.
Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Wizara inaendelea kuchambua na kutoa
fursa zaidi kwa vijana, ninaishukuru zaidi Serikali" – Ndg. Mboni Mhita (MB)
#VijanaTz
"Nipo kule kwenye bunge la afrika kama
Tanzania na si kama Mboni Mhita"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Kuna fursa nyingi kule kwenye bunge la
Afrika huwa nazileta hapa Tanzania kwa ajili ya kuwasaidia – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Hujafanikiwa kuwa kiongozi mpaka uwe
umewaandaa na kuwapika viongozi wengine"– Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
"Kama nilivyopikwa na UVCCM, nami napika
vijana wengine wapate mafanikio" – Ndg. Mboni Mhita (MB) #VijanaTz
Imeandaliwa na Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Makao Makuu Taifa
Post a Comment