Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Shaka akagua maendeleo ya Chuo cha Ihemi

 Katibu wa Umoja wa Vijana Mkoa wa Iringa ndg:James mgego akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya uchaguzi wa jumuiya ya Umoja wa Vijana kwa Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka  alipowasili kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa .
 Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka  akipitia kwa umakini Taarifa ya uchaguzi ya Uvccm Mkoa wa Iringa alipowasili kusaini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa wakati akielekea katika chuo cha mafunzo Ihemi .
  Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka  akisalimiana na viongozi na wanachama wa chama cha mapinduzi alipowasili katika chuo cha Mafunzo IHEMI Iringa.
  Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka (pili kulia) akisalimiana na watumishi walio katika maandalizi ya mwisho ya kukamilisha utekelezaji wa kukifufua  chuo cha mafunzo ihemi Iringa.
  Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akizungumza na viongozi,wanachama pamoja na watumishi walio katika maandalizi ya mwisho ya kukamilisha utekelezaji wa kukifufua  chuo cha mafunzo ihemi Iringa.
 Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akitazama baadhi ya nyaraka na vitabu mbali mbali vilivyokua vikitumika wakati wa mafunzo katika chuo cha mafunzo Ihemi Mkoani Iringa.
 Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka (wa tatu)akielekea kukagua baadhi ya majengo ya Chuo cha mafunzo Ihemi Mkoan Iringa.
 Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akikagua majengo ya madarasa katika chuo cha mafunzo Ihemi Mkoani Iringa.
 Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka(wa nne kushoto) akitazama jengo la Utawala katika  chuo cha mafunzo Ihemi Mkoani Iringa.
 Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akipata maelekezo katika mchoro wa ramani wa kubadilisha majengo na muonekano wa chuo cha mafunzo Ihemi Mkoani Iringa.
 Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe:Amina Masenza (kushoto) akizungumza jambo  alipokutana na Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka katika mazungumzo juu ya hatua za kukifufua   chuo cha mafunzo Ihemi Mkoani Iringa.
 Pich ya pamoja ndg:Ndg:Kaimu katibu mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka (wa pili kushoto)Mhe:Amina masenza Mkuu wa mkoa Iringa (wa tatu kushoto), mkuu wa Wilaya ya kilolo Asia Abdallah,pamoja na ndg:John Melele Msaidizi wa Kaimu Katibu Mkuu Umoja wa Vijana wa CCM Taifa mara mazungumzo juu ya hatua za kukifufua   chuo cha mafunzo Ihemi Mkoani Iringa. katika za mkuu wa mkoa wa Iringa. 
(PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top