Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Makinikia yamrudisha tena nchini Bosi wa Barrick


Image may contain: one or more people and people standing
Image may contain: 2 people, people standing and airplane
Image may contain: 2 people, people standing and sky
Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold Profesa John L. Thornton akiwasili Dar kwa ndege maalum Jumanne jioni kuhudhuria mazungumzo ya biashara ya madini ya dhahabu, maarufu kama MAKINIKIA baada ya majadiliano ya kina baina ya wataalamu wa Tanzania na wa Kampuni hiyo ambaya yamekuwa yakiendelea kwa karibu miezi mitatu sasa. Hii ni mara ya pili Prof Thornton kuja Tanzania kwa shughuli hiyo.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top