Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Msemaji wa Serikali Dkt. Hassan Abbas amwaga data za utendaji Serikalini


#TUNATEKELEZA2018 "Hadi kufika machi 2017, Pato la Taifa lilikuwa kwa wastani wa asilimia 7.1 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 7.0 kwa mwaka 2016" - Dkt. Hassan Abbasi.

#TUNATEKELEZA2018 "Serikali imetimiza ndoto ya kuendelea kulifufua Shirika la Ndege kwa kuleta Boeing 878 Dreamliner, Ndege nyingine 2 za C Series zinakuja Novemba na Boeing nyingine 1 itawasili Januari 2020"-Dkt. Hassan Ab...basi.

#TUNATEKELEZA2018 "Tangu ujio wa ndege hizi abiria wa ATCL wameongezeka hadi kufikia 107,207 katika mwaka 2016/2017 kutoka 49,174 mwaka 2015/2016"-Dkt. Hassan Abbasi

#TUNATEKELEZA2018 "Serikali imeendelea kutekeleza agizo la kuhamia Dodoma ambapo takribani watumishi 6,400 wameshahamia"-Dkt. Hassan Abbasi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top