Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS MAGUFULI NA HISTORIA ISIYOFUTIKA

Na Emmanuel J. Shilatu Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe anavyokumbukwa kwa mapambano ya ubadhirifu wa mali za umma,...

Ufafanuzi wa TCRA kuhusu kuondoa chaneli za runinga zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka ving'amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku

Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imefafanua kuhusu kuondoa Channel za Televisheni za ndani zinazotazamwa bila kulipia (FTA) kutoka Ving’amuzi vya Azam, Multichoice na Zuku. ...

TRA: Msamaha Wa Riba Na Adhabu Ya Malimbikizo Ya Kodi Kutoa Motisha Kwa Wafanyabiashara Nchini

Na Veronica Kazimoto Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa msamaha wa riba na adhabu wa asilimia 100 kwenye malimbikizo ya madeni ya kodi unaotolewa ndani ya Mwaka wa Fedha 2018/19 utawasaidia wafanyabiashara kulipa kodi ya msingi na hatimaye...

KAMATI KUU YA CCM YAJA NA MAAMUZI MAPYA

KAMATI Kuu Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) leo tarehe 14 Agosti, 2018 imeketi jijini Dar es Salaam na kufanya uteuzi wa wagombea watatu katika majimbo ya Monduli, Ukonga na Korogwe Vijijini. Kamati hiyo iliongozwa na Mwenyekiti wa...

TAKUKURU Hai Yamfikisha Mahakamani Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi na Mfanyabiashara Mmoja

Watu wawili akiwamo Mfanyabiashara wa mjini Moshi, Oscar Kigumu, wamefikishwa kortini jana Agosti 14, 2018 wilayanj Hai kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh27.6 milioni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Mfanyabiashara huyo anayemiliki kampuni ya Oscar Food...

MAGAZETI YA LEO JUMATANO AGOSTI 15, 2018

...

Mfumuko Wa Bei Wa Taifa Umepungua Kufikia Asilimia 3.3

Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma. Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2018 umepungua hadi kufikia asilimia 3.3 ikilinganishwa na asilimia 3.4  mwezi Juni, 2018. Hayo yameelezwa  jana na Jijini Dodoma na  Mkurugenzi wa sensa...

Rais Magufuli Ashindwa Kujizuia na Kumwaga Machozi Akimuaga Mzee Majuto

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi wakati alipokuwa akiaga mwili wa aliyekuwa msanii nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ katika Ukumbi wa Karimjee jijini...

Kalanga, Waitara wapeta CCM

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitafanya uteuzi wa wagombea ubunge katika majimbo ya Monduli, Korogwe na Ukonga Agosti 15 mwaka huu. Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amesema hayo leo Alhamisi Agosti 9. “Wameanza...

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top