RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSTEL BAGAMOYO LEO
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha
sita wa Marian Girls Secondary school kwenye kwenye sherehe za "Holy
Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya
Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani
Post a Comment