Habari za kusikitisha zilizotua majira ya saa 9 .30 Alasiri ya leo zinadai kuwa watu zaidi ya 200 waliokuwa wakisafiri meli ya Seagull kutoka Dar e Salaam kwenda Zanzibar wamezama katika bahari ya Hindi karibu na kisiwa cha Chumbe baada ya boti hiyo kuzama.
Hadi sasa bado idadi ya majeruhi na waliokufa bado haijatolewa na jitihada za uokoaji zinaendelea Chanzo kinatajwa ni boti hiyo kuzidiwa na uzito na hivyo kupigwa na mawimbi mazito na kupinduka .
Post a Comment