Jana Wanazuoni wa Taasisi ya Ustawio wa Jamii waliingia kwenye mchakato wa upigaji kura ambapo mwisho wa siku Frank John Nkinda aliibuka kidedea kwa kuzoa ushindi wa asilimia 79.9 na hivyo kutawazwa rasmi kuwa Rais mpya wa serikali ya Wanafunzi (ISWOSO).
Kila la kheri Frank John Nkinda
Post a Comment