*IGP UGANDA AAGIZA MAAFISA UBALOZI WA TANZANIA NCHI UGANDA WAILETE HARAKA SANA PASSPORT YA MSANII WA UGANDA JOSE CHAMELEON ILIYOSHIKILIWA NA SHIGONGO
Kayihura ametoa amri hiyo alipokutana na Chameleon kwenye kituo cha polisi cha Muyenga mchana wa leo jijini Kampala.
Amesema maafisa wa hapa nchini wamesema passport ya msanii huyo ingewasili baadaye leo na kukabidhiwa kwake mara moja.
Leo Jose Chameleone akiwa na mashabiki wake wameandamana kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uganda kudai arudishiwe passport hiyo iliyokuwa ikishikiliwa na Erick Shigongo kwa madai kuwa meneja wake amemtapeli dola 3500.
Post a Comment