Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili
wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo
Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha
na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania,
James Mbatia (katikati) na Katibu Mkuu wa CCM, Willson Mukama, baada ya
kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya
Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10,
2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na
Muhidin Sufiani-OMR
Post a Comment