Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS WA MADAKTARI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUTOTII AMRI YA MAHAKAMA


Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Mkopi, akizungumza jambo na Mwanasheria ambaye pia ni wakili wake, Kikondo Maulidi (kushoto), baada ya kuachiwa kwa dhamana, katika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, alipofikishwa kwa ajili ya kusomewa shitaka la kutokutii amri halali ya Mahakama Kuu, iliyomtaka kuwatangazia wanachama wa chama hicho kupitia vyombo vya habari, kusitisha mgomo wao.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top