 |
MSIMAMIZI
wa Uchaguzi mdogo Jimbo la Bububu, Ali Rashid Suluhu akimkabidhi fomu
mgombea Uwakilishi katika jimbo hilo kupitia chama cha Mapinduzi,
Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) wakati mgombea huyo alipokwenda kuchukua
fomu katika ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Wilaya ya Magharibi
zilizopo Maisara mjini Unguja.(Picha na Haroub Hussein). |
 |
MGOMBEA
Uwakilishi Jimbo la Bububu kupitia CCM, Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa)
akionesha fomu ya kugombea uwakilishi katika Jimbo hilo nje ya ofisi za
Tume ya Uchaguzi (ZEC) Wilaya ya Magharibi zilizopo Maisara mjini
Unguja.(Picha na Haroub Hussein). |
 |
MGOMBEA
Uwakilishi Jimbo la Bububu kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Hussein
Ibrahim Makungu (Bhaa) akionesha fomu za kugombea Uwakilishi katika
jimbo hilo akitoka katika ofisi za tume Maisara kulia kwake,Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mjini Magharib ,Yussuf Mohammed na Mbunge wa Bububu, Juma
Sururu wakiwa na wanachama wengine wa CCM.(Picha na Haroub Hussein). |
on Tuesday, August 28, 2012
Post a Comment