Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda ambaye alikwenda kwenye Ikulu ya Zanzibar, Agosti 3, 2012
kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwenzi
uliopita.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu,
Mizengo Pinda ambaye Agosti 3, 2012 alikwenda Ikulu ya Zanzibar kumpa
pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Iddi kwenye Ofisi za Baraza la Wawakilishi Mjini Zanzibar
wakati alipokwenda kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Sagit iliyotokea
mwezi uliopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment