Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Brigit ndiye Redds, Miss Kinondoni 2012


Mshindi wa shindano la Redds Miss Kinondoni Brigit Alfred, akiwapungia mkono mashabiki walioshuhudia shindano hilo jijini Dar es Salaam jana, kulia ni mshindi wa pili Diana George Hussein na mshindi watatu Irene David. Brigit pia anashikilia taji la Redds Miss Sinza 2012 huku Irine akishikilia taji la Miss Ubungo 2012.
 Warembo hao wakiwa kwenye vazi la ufukweni wakipita mbele ya majaji na watazamaji walioshuhudia shindano hilo.
 Mshindi aliyenyakua taji hilo Brigit Alfred akicheza midundo ya kihindi kwenye kinyang'anyiro cha vipaji na kuibuka kidedea.
 Hii sio kiduku ni midundo ya kihindi mshiriki wa shindano hilo Brigit Alfred, akionyesha uwezo wake kwenye kucheza na kuibuka kidedea kwenye kipaji lakini pia aliibuka kidedea kwenye shindano hilo na kuwa Miss Kinondoni 2012.
Hawa ndio waliofika tano bora kutoka kushoto ni, Judith Sangu, Brigit Alfred, Diana George Hussein, Irene David na Kudra Lupatu.
Redds miss Kinondoni anayemaliza mudawake Stela Mbugi, akiwa kwenye picha yapamoja na tanobora kabla ya kukabidhi taji hilo.
 Brigit Alfred akipungia mashabiki mara tu baada ya kutangazwa kua mshindi wa shindano hilo.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana