Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) CHALAANI MAUAJI YA MAREHEMU MWANGOSI

Rais wa chama cha walimu (CWT) Tanzania Mwalimu Gratian Mukoba akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya chama hicho jijini Dar es salaam leo juu ya kuzinduliwa kwa baraza la majadiliano ya pamoja kwenye utumishi wa walimu, kwa mujibu wa Gratian mukoba amesema baraza hilo kazi yake itakuwa kuishauri serikali kuhusu njia mbalimbali za kuzuia kutokea kwa migogoro baina ya walimu na serikali, Aidha alisema chama cha walimu CWT kimelaani kwa nguvu zote kwa kuuwawa kwa aliekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha channel Ten Daudi Mwangosi na kutoa wito kwa    wahusika waliofanya kitendo hicho wakibainika wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.kushoto kwake  Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Ezekiel Oluoch
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top