Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw.Steve Gannon (kushoto)
akitekja maji katika mradi wa maji uliodhaminiwa na kampuni ya bia ya
Serengeti katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam leo kulia ni
mkuu wa wilaya ya Temeke bi Sophia Mjema.
Mkurugenzi
Mtendaji SBL, Steve Gannon (kushoto) na mkuu wa wilaya ya Temeke Bi
Sophia Mjema (kulia ) wakizindua rasmi mradi wa maji wenye hifadhi wa
zaidi ya lita 40000 kwa wakati mmoja ulidhaminiwa na kampuni ya bia ya
Serengeti. Wengine ni wafanya kazi na wageni waalikwa katika hospitali
ya temeke.
Mkurugenzi mtendaji wa SBL. Teve Gannon akimtwish ndoo ya maji mkuu wa wilaya ya temeke bi Sophia Mjema
Post a Comment