Askari wa Jenshi la Polisi wakilazimika kufanya kazi ya wanahabari kwa kupiga picha
mabango
yaliyokuwa yamebebwa na wanahabari hao waliokuwa kwenye maandamano ya
kumlilia Mwandishi Mwenzao,Marehemu Daud Mwangosi aliefariki Mkoani
Iringa hivi Karibuni. Swali la kujiuliza hawa trafiki wanayajua majukumu yao? Hizi ndizo kazi za matrafiki?
Post a Comment