Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS KIKWETE ALA PICHA YA UKUMBUSHO NA WAJUMBE WA NEC WANAOMALIZA MUDA WAO

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya moja na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma wakati wa kikao cha NEC kilichofanyika jana. Kikao hicho kilikuwa cha mwisho kwa wajumbe wa NEC baada ya kumalizika kwa kipindi cha miaka mitano ya uongozi wao.Picha na Freddy Maro-IKULU
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top